KARIBU
Mtumishi Samweli Mwaimu
MAANA NA UTARATIBU WA IBADA
Sisi wa kristo tunaamini katika kanisa Moja,Kathoriko, na la Kimitume. Kanisa limejengwa kwenye misingi mitatu yaani;
- neno(mafundisho)
- Mapokeo ya kimitume
- Roho mtakatifu
Ibada ni utaratibu ambao wanadamu wameuweka katika kumwabudu Mungu Kwa msaada wa MUNGU, na ibada inautaratibu,kusudi la Yesu kuja duniani (na vizazi) ni kuleta upatanisho kati ya mwanadamu na MunguMungu wa Ibada aliowapa wanadamu(unaexist) kwa wayahudi wa wakati huo) Kanisa la kristo limeanza baada ya kristo kuwepo duniani. Na watu-wakristo walionziasha kanisa la kikristo walikuwa ni MITUME wa Yesu.na mitume ndio waliotumwa na Yesu .
MAPOKEO
Mapokeo ya kanisa yametoka mwanzo mwa kanisa ambapo wakina Paulo , petro na mitume wengine walikuwepo kwani
Leo jumapili mtumishi Samweli mwaimu katika kanisa la tiba akifundisha neno linalosema
MSAADA WA MUNGU MAISHANI MWETU
Kutoka 14:21-31, katika maisha yetu tunaona msaada wa Mungu kwenye maisha yetu haupo.Msaada wa Mungu upo kwenye maisha yetu endapo tutampenda.
Mara nyingi tunaaza na jitihada zetu na kumuacha Mungu lakini Mungu anataka tuanze na yeye, katika maisha yetu Duniani tumepewa nafasi ya miungu tunachofanya kinatokea na kwetu tunavyowasaidia wengine tunamhudumia Mungu na Mungu anavyokuwa jirani na wewe anakujibu maombi yako. Fedha ushauri, mawazo.
Vile unavyotaka kutendewa ndivyo uwatendee wengine(kipimo mnacho wapimia wengine ndichomtakachopimiwa)
MAHAFALI YA USCF CCT UDOM 2016
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika mahafali ya USCF CCT UDOM CHAPLAINCY 2016.......jionee mwenyewe mpendwa