Pages
Home
IBADA ZETU
GALLERY
KWAYA ZETU
MALENGO YA KANISA
ABOUT US
KARIBU
Tunakusalimu katika Jina la BWANA wetu YESU KRISTO. karibu katika ukurasa huu maalumu wa
USCF CCT UDOM CHAPLAINCY-KITIVO CHA TIBA.
USCF ni kifupisho cha maneno machache;
UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP
na CCT ni kifupisho cha
CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA
.
Sisi ni ushirika wa vijana wa vyuo vikuu kutoka makanisa wanachama wa baraza la kikristo Tanzania (CCT). tumekuwa na ukurasa huu maalumu kwa ajili ya Kuhubiri Injili, Kufundisha Neno la Mungu, kupashana habari pamoja na kushauriana. Ni kiu yetu kuwa walioko makazini, majumbani, mashuleni na maeneo mbalimbali waweze kufikiwa na mahubiri/mafundisho yetu yanayotolewa na watumishi mbalimbali waliopo katikati yetu na wale wa nje ya USCF pamoja na wahubiri wa kimataifa. KARIBU TUJIFUNZE NA KUHABARIKA NA MUNGUAKUBARIKI
JINA LAKE YESU-USCF COED UDOM
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele. Yohana 3;16
No comments:
Post a Comment