KARIBU

KARIBU
Tunakusalimu katika Jina la BWANA wetu YESU KRISTO. karibu katika ukurasa huu maalumu wa USCF CCT UDOM CHAPLAINCY-KITIVO CHA TIBA. USCF ni kifupisho cha maneno machache; UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP na CCT ni kifupisho cha CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA. Sisi ni ushirika wa vijana wa vyuo vikuu kutoka makanisa wanachama wa baraza la kikristo Tanzania (CCT). tumekuwa na ukurasa huu maalumu kwa ajili ya Kuhubiri Injili, Kufundisha Neno la Mungu, kupashana habari pamoja na kushauriana. Ni kiu yetu kuwa walioko makazini, majumbani, mashuleni na maeneo mbalimbali waweze kufikiwa na mahubiri/mafundisho yetu yanayotolewa na watumishi mbalimbali waliopo katikati yetu na wale wa nje ya USCF pamoja na wahubiri wa kimataifa. KARIBU TUJIFUNZE NA KUHABARIKA NA MUNGUAKUBARIKI
Mtumishi Samweli Mwaimu
MAANA NA UTARATIBU WA IBADA
Sisi wa kristo tunaamini katika kanisa Moja,Kathoriko, na la Kimitume. Kanisa limejengwa kwenye misingi mitatu yaani;
  • neno(mafundisho)
  • Mapokeo ya kimitume
  • Roho mtakatifu
Ibada ni utaratibu ambao wanadamu wameuweka katika kumwabudu Mungu Kwa msaada wa MUNGU, na ibada inautaratibu,kusudi la Yesu kuja duniani (na vizazi) ni kuleta upatanisho kati ya mwanadamu na MunguMungu wa Ibada aliowapa wanadamu(unaexist) kwa wayahudi wa wakati huo) Kanisa la kristo limeanza baada ya kristo kuwepo duniani. Na watu-wakristo walionziasha kanisa la kikristo walikuwa ni MITUME wa Yesu.na mitume ndio waliotumwa na Yesu .
   MAPOKEO
Mapokeo ya kanisa yametoka mwanzo mwa kanisa ambapo wakina Paulo , petro na mitume wengine walikuwepo kwani

No comments:

Post a Comment

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele. Yohana 3;16